WELOCME TO
START MY SAFARI
" WE SIMPLIFY BUS TRAVEL "
TESTEMONIALS
Startmysafari imefanya kuwepo kwa mahusiano ya karibu kati ya makampuni ya mabasi na abiria kwani imekuwa ni rahisi kupata taarifa ya uhakika kuhusu mabasi!!! muda sahihi wa safari na tiketi bila usumbufu wowote.
- Walid Wibonela
- Walid Wibonela
Startmysafari.com imekuwa mkombozi wa wasafiri kwa kuwaondolea usumbufu wa wapiga debe…..;) huku ikiwapa urahisi wa upatikanaji wa tiketi masaa 24.
- Amandus Madyane
- Amandus Madyane
Kupata tiketi kwa mabasi ya mikoani imekuwa rahisi sana, kwa kutumia tovuti ya startmysafari.com au wasafiri wanaweza kuchagua basi, kiti, tarehe ya safari na muda wanaotaka pamoja na kufanya malipo kwa Mpesa kwa haraka na usalama!
- Fredrick Mtunguja
- Fredrick Mtunguja
Nikiwa kama wakala wa Leo Luxury Coach, nimerahisishiwa kazi zangu na startmysafari, kwani muda wowote naweza kupata idadi na taarifa za abiria wa kila basi……..
- Della Mariki
- Della Mariki